msanii wakikee maarufu kama husna chobis amefunguka na kusema kwamba anawachukia sana wanaume waongo na pia wamekuwa wakimpotezea muda na wakati mwingine amekuwa katika wakati mgumu sana katika mambo yake ya kazi kwa kukosa maamuzi sasahihi na pia amebainisha kuwa baadhi ya wanaume hao wanakuwa wachovu lakini masanii huyo amesema kuwa
" sitaki kuzalishwa na mwanaume au kuwa na uhusiano wa kudumu na wanaume wa tanzania maana wengi wao ni matapeli
kutokana na umaarufu wake wanaume wengi wamekuwa wakimtamani na kumpa ofa kibao lakini wao nia yao ni kutaka tu uroda na sio kingine
amedai kuwa
" bora nchi zingine za jirani kuna ndoa za mikataba unajua kabisa huyu kaka nitakaa nae kwa muda fulani nitazaanae au ni waraha tu.anasema kuwa hiyo inasidia kujua kuwa huyu jamaa ni mshamba au laaaah inakuwa rahisi kumpiga chini alisisitiza msanii huyo.AVANA