Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mikono na Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipeana mikono na Mhe Tamika Mwakahesya baada ya kumuapisha kuwa
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi leo Oktoba 28, 2013
Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Dkt. Bashir Mrindoko baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Daniel Ole Njolaay kuwa balozi leo Oktoba 28, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam. Balozi Njolaay amepangwa kuwa balozi wa Tanzania nchini Nigeria.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais wakiwa katika picha ya pamoja na walioapishwa leo kushika nyadhifa mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam. Kutoka kushoto ni Mhe. Raphael Leyani Duluti kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Dkt. Bashir Mrindoko kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji. toka kulia ni Mhe Daniel Ole Njolaay aliyeapishwa kuwa balozi wa Tanzania nchini nigeria akifuatiwa na Mhe Tamika Mwakahesya aliyeapishwa kuwa Katibu Mtendaji wa Bodi ya Mishahara na Maslahi.
PICHA NA IKULU