POZI LA LEO DARASANI
huu umekuwa ugonjwa amabo umekuwa kwa kasi zaidi baada ya tu kuingia kwa teknolojia ya facebook amabayo imeifanya jamii kuwa bize kiasi kwamba baadhi ya watu wameathirika na ugonjwa wa kuchati na kuangalia mapicha ya ngono hali hii imekuwa kikwazo kikubwa sana kwa wanafunzi ambao ndio tegemezi la kizazi cha baadae sasa imefika hatua watu hawalali bali ni kuchati tu. wanafunzi nao wanawapa walimu wakati mgumu sana wakati wa ufundishaji ambapo unakuta mwanafunzi kajikita usiku kucha facebook sasa balaa linakuja asubuhi wakati mwalimu anafundisha unakuta mwanafunzi yuko bize na usingizi au yuko bize na kuchati na simu .
by babu wambura