Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika hafla ya sherehe za kuukaribisha mwakama mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, zilizofanyikwa kwenye Ukumbi wa Karimjee,jijini Dar es Salaam, leo. Picha Zote na OMR
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais, Dkt. Bilal,kuhutubia
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, kwa kutambua mchango wake katika kufanikisha hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwaongoza baadhi ya Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama, kuomba dua wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, wakati wa hafla ya kuupokea mwaka mpya wa Kiislamu 1435 Hijriyya, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, leo.
picha ya pamoja
picha na JIACHIE BLOG+wamburababu