TOVOTI KUU YA SERIKALI SASA YAACHILIWA HEWANI RASMI
serikali ya tanzania sasa imezindua rasmi tovuti kuu kwa lengo la kurahisishama mawasiliano ya ndani ya nchi ya tanzania kila raia sasa anaweza kutembelea tovuti hii kupitia http://www.tanzania.go.tz/