askari polisi akichukua maelezo juu ya ajali hiyo
damu ikiwa imetapakaa katika kiberenge
kiberenge kikiwa kimehama njia baada ya ajali
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kujulikana mara moja akiwa kwenye pikipiki yake leo mchana maeneo ya Banda la Ngozi, Ilala jijini Dar es Salaam amegongwa na Kiberenge na kuvunjika mguu.
(PICHA NA ISSA MNALLY / GPL)