MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 24, 2013

BASI LA MOHAMED LAACHA NJIA

 Basi la Mohamed linalofanya safari zake kutoka Mwanza kuelekea Bukoba limeacha njia na kuvamia mashamba yaliyopo pembezoni mwa barabara asubuhi ya leo.

 Kwa mujibu wa mpenyezaji wa taarifa hizi ambaye alikuwa akipishana na basi hilo amesema kuwa hakuna abiria yeyote alipoteza uhai wala aliyejeruhiwa zaidi ya abiria kadhaa kujawa hofu

Mpaka mpenyezaji wa taarifa hii anatoka eneo la tukio matairi ya basi hilo yalikuwa yamezama kwenye tope huku juhudi za kuliondosha basi hilo kurejea barabarani zikifanyika