MWANAHIP HOP JOH MAKINI AWAPAGAWISHA MASHABIKI WA DAR LIVE KRISMASI
Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi, Joh Makini, akiwapagawisha mashabiki wa Hip Hop waliofurika katika Uwanja wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala - Zakhem, jijini Dar usiku huu wa sikukuu ya Krismasi