Barabara kuu ya itokayo katikati ya jiji la Mbeya kwenda Mbalizi kupitia Mabatini Meta imeanza kuharibika mapema toka lami iwekwe takribani mwezi mmoja uliyopita hii ndiyo halisi ya barabara hiyo
Tayari baadhi ya maeneo ya barabara hiyo mashimo yameanza kuzibwa na tope la saruji
katika hali isiyo ya kawaida kabisa barabara kuu ya mjini mbeya sasa imeanza kuwa gumzo ndani ya mji wa mbeya haijapita hata mwezi mmoja tangu mkandarasi kukabidhi tayari imeisha aanza kuonesha udhaufu wa kazi waliyo ifanya kiukweli hali ni mbaya ya barabara ikizingatiwa kuwa iko katika kiwango cha lami na hii inatokana na serikali kutoa vibali kwa wakandarasi amabao hawajakidhi vigezo vya ubora na viwango madhubuti mpaka kupelekea hali kuwa namana hii
WAKANDARASI FANYENI KAZI KWA MOYO MMOJA ACHENI WIZI WA KIPUMBAVU