Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mh Jenista Mhagama akikaribishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Sifuni Mchome
Pichani kati ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mh Jenista Mhagama akiwasili kwenye eneo lake la kazi huku akilakiwa na Wafanyakazi mbalimbali wa Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa jana viwanja vya Ikulu jijini Dar