RAIS wa
Shirikisho la soka Tanzania bara, TFF, Jamal Emil Malinzi amewashangaa
watu wanaoshangilia shirikisho hilo kudaiwa madeni na baadhi ya taasisi.
Kuna
taarifa kuwa moja ya basi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars
lipo katika hatari ya kupigwa mnada na taasisi moja inayoidai TFF,
ambayo Malinzi hakutaka kuitaja, lakini wanajitahidi kutatua tatizo
hilo.
Rais Malinzi amesema duniani kote hakuna taasisi isiyodaiwa, hivyo si jambo la baadhi ya watu kusherekea