maduka yote ya jiji la mwanza yafungwa
mgomo wa wafanya biashara kama kawaida yao tena leomapema wamaegoma kufungua maduka yao kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kuwepo kwa tozo za kodi kwa kiwango kikubwa kwa wafanya biashara wa jiji la mwanza hali hii imepelekea kutokuwepo kwa sintofahamu na kujikuta wakifunga maduka yote yanayoizunguka mji wa mwanza na mpaka muda huu bado suluhisho halijapatikana kwa habari zaidi tutazidi kufahamishana