PICHA: AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA MABASI YA SABENA NA A.M. DREAMLINE KUGONGANA USO KWA USO
Hali
ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya
basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M.
toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso. Dreva wote wa mabasi
hayo wamefariki hapo hapo, mmoja akiwa amekatika kichwa.
Abiria
kadhaa wakiwa wamenasa katika mabasi hayo, baadhi wakiwa wamekatika
mikono na miguu. Abiria wapatao zaodi 30 wamefariki hapo, na majeruhi
zaidi ya 30 wamepelekwa katika Hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge.
Mashuhuda wa ajali iliyohusisha mabasi mawili ya abiria kati ya Sabena ya Mbeya-Tabora na AM Dreamline ya Mwanza-Mpanda.
Baadhi ya miili ya marehemu