Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati
alipowaalika katika chakula maalum leo katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi mbali
mbali (Diaspora)wakati alipowaalika katika chakula maalum leo katika
viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi
ya Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora)wakiwa katika chakula
walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora) wakichukua chakula walichoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi (Diaspora) wakichukua chakula walichoaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi
ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) wakiwa katika chakula
walichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Ikulu Mjini
Zanzibar
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja
na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya chakula alichowaandalia Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Mshauri
wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa, Uwekezaji na Uchumi Balozi Mohammed
Ramia Abdiwawa alipokuwa akizungumza machache na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kutoa hutuba yake kwa Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) aliowaalika chakula cha mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Bi Hafsa Hassan Mbamba kwa niaba ya Wazanzibari wanaoishi Nchi za nje (Diaspora) akitoa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
kwa mwaliko huo na kutoa pongezi kwa jitihada zinazo chukuliwa na
Mheshimiwa Rais na Serikali yake kwa ujumla,baada ya hafla ya chakula katika viwanja vya Ikulu, Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu