Mwana FA na AY wakiwa pamoja wanajiita ‘Gladiators’ na sasa Banana Zorro na TID Mnyama kwa pamoja wameamua kujiita ‘The Expendables’. Wasanii hao wakongwe wamesema wanatarajia kuachia ngoma yao ya pamoja hivi karibuni.
“With my broda last nyt @tidmnyama THE EXPENDABLES vigogo… duet coming.anytime STUNTS AGENTS,” ameandika Banana kwenye picha aliyoweka Instagram akiwa na TID.