Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi
akiongea na Timu ya Maafisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana,Utamaduni na
Michezo kabla ya kufungua Mafunzo ya
Vijana wa Wilaya hiyo kuhusu Mikopo
kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, kulia ni Afisa Vijana Bi Amina Sanga.
Kaimu
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma Bw. Boniface Mandi
akifungua Mafunzo ya Vikundi vya Vijana wa Halmashauri ya
Wilaya ya Nchemba kuhusu Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.Mafunzo
hayo yanatolewa na kuratibiwa na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Vijana
wa Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma wakimsiliza mwezeshaji (hayupo pichani) Bi.
Amina Sanga katika Mafunzo ya Vijana wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuhusu
Mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana
Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana
kutoka Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Amina Sanga
akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nchemba Mkoani Dodoma
Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana na kitabu cha Mwongozo Sanifu wa Mafunzo
ya Vijana Walio nje ya Shule.Picha
zote na Benjamin Sawe