gari aina ya Toyota Hiace imezama mtaroni baada ya dereva wake kushindwa kuicontrol na kujikuta ikidumbukia mtaroni chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mpaka sasa lakini gari hiyo haikuwa na abiria yeyote hiyo dereva hajulikani alipokimbilia baada ya kuitupa gari hiyo mtaroni askari bado wanamsaka kila kona ya mji wa kigoma kwa kosa la kuitupa gari mtaroni na kukimbia
na mwanahabari wetu MOSES ENOSSY KIGOMA