Baadhi ya Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya nchini Marekani waliokuja nchini kwa lengo la kutizama fursa za uwekezaji . |
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya kufua Umeme ya TANASI William Crawford akiwa na mjukuu wake Colin Machamsoc wakiwa katika pozi la Picha katika hotel ya Mount Meru. |
Marais,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Makampuni mbalimbali ya Marekani wakiwa katika picha ya pamoja katika hotel ya Mount Meru jijini Arusha |