Meneja wa Mirror
na wasanii wa Endless Fame, Petit Man (kushoto) akimvalisha pete ya
ndoa dada yake na Diamond Platnumz aitwaye Esma usiku wa kuamkia leo.
Mama mzazi wa Diamond Platnumz na Esma, Sanura Kassim 'Sandra' (katikati) akiwa katika pozi na wanandoa hao.
Wanandoa Petit Man na Esma wakiwa katika picha ya pamoja.
Meneja wa Mirror
na wasanii wa Endless Fame, Petit Man, amefunga ndoa ya Kiislamu na
dada wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz aitwaye Esma