Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga,Bw. Salum Chima akizungumza wakati akifungua
semina ya Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali
katika (Kanda ya Kinondoni) mkoani Tanga leo
Meneja
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni (inayojumuisha wilaya za
Kibaha,Bagamoyo na mkoa wa Tanga),Bi. Zahra Kayugwa akizungumza na
washiriki wa semina ya Mfuko wa PPF kwa maafisa wa makampuni mbalimbali
katika (Kanda ya Kinondoni) mkoa wa Tanga leo.
Maafisa
kutoka makampuni mbalimbali katika (kanda ya Kinondoni )mkoa wa Tanga
wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa leo.
wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiangalia
taarifa kwenye simu ya Meneja wa PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani
inayojumuisha wilaya ya Kibaha na bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra
kayugwa leo kabla ya kuanza semina ya mfuko wa pensheni wa PPF kwa
maafisa wa makampuni mbalimbali katika(Kanda ya Kinondoni)mkoa wa Tanga
leo.
Meneja
wa PPF kanda ya Kinondoni,Mkoa wa Pwani inayojumuisha wilaya ya Kibaha
na bagamoyo) na mkoa wa Tanga,Zahra kayugwa (wa pili kushoto) akiwa
kwenye picha ya pamoja na baadhi ya maafisa wa Mfuko huo,Mkoa wa Tanga.
washiriki
wa semina hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mfuko wa
Pensheni wa PPF leo baada ya kufunguliwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa
Tanga,Salum Chima (aliyekaa katikati mwenye koti jeusi).