MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Sep 29, 2014

Rekodi mpya ya Messi na matokeo ya FC Barcelona vs Granada

1411839045997_wps_15_Barcelona_s_Brazilian_for
Akiwa na miaka 27 tu mwanasoka bora wa zamani wa dunia Lionel Messi amezidi kuchafua vitabu vya rekodi kwa kuweka na kuzivunja rekodi mwenyewe.
Leo hii wakati FC Barcelona ilipoikaribisha Granada kwenye dimba la
Nou Camp, Lionel Messi alifunga magoli mawili katika ushindi wa magoli 6-0.
Magoli hayo mawili yamemfanya Messi atimize jumla ya magoli 401 katika mechi 524 alizoichezea FC Barca na Argentina. Hii ni rekodi mpya kwa Messi.
Magoli mengine ya Barca yalifungwa na Neymar aliyefunga matatu, na Rakitic.(P.T)
Timu ziliapangwa kama ifuatavyo
Barcelona: Bravo, Mathieu, Dani Alves, Adriano, Mascherano, Busquets (Bartra 64), Xavi, Rakitic (Sergi 58), Neymar, El Haddadi (Ramirez 71), Messi.
Subs not used: Ter Stegen, Montoya, Pedro, Iniesta.
Goals: Neymar 26,45 & 66, Rakitic 43, Messi 62 & 82.
Bookings: Dani Alves
Granada: Fernandez Alvalleros, Foulquier, Claude Babin, Nyom, Murillo, Yuste Canton (Pascual Israfilov 45), Marquez Moreno, Iturra, Rico Castro (Medina Luna 45), El-Arabi (Martins 73), Success Ajayi.
Subs not used: Olazábal Paredes, Mainz, Nounkeu, Cordoba.
Bookings: Rico Castro, Foulquier.
Referee: Juan Martínez Munuera
Attendance: 72,596
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2772032/Barcelona-6-0-Granada-Neymar-hat-trick-Lionel-Messi-s-400th-career-goal-complete-rout.html#ixzz3EYFeN8GF 
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook