Skirt Fupi Maofisini Zinapunguza Ufanisi wa Kazi kwa Wanaume
Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu
ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine
tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi na sisi halafu karibia
mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kazi ambazo hazina
ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au
kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini.
Jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli