Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta bungeni mjini Dodoma Sep.
24, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo na Ahmed Shabiby
wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizunguma na mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la
Katiba, Margaret Sitta,kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24,
2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Esther Juma (Wanne kushoto ) na Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban
(kushoto), Imani Laban (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto)
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Wapili kulia ni
mjumbe wa Bunge la Bunge Maalum la Katiba, Margaret Sitta.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
Esther Juma (Wanne kushoto ) na Mabinti wa mbunge huyo, Nandoye Laban
(kushoto), Imani Laban (wapili kushoto) na Lulu Laban (watatu kushoto)
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Peter Serukamba
na Said Juma Nkumba (kushoto) wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe
wa Bunge maalum la katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Paul Makonda
wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Sep. 24, 2014. Kutoka kushoto ni
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, Mbunge wa Chalinze,
Ridhiwani Kikwete na Waziri wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo,
Dkt. Fenella Mukangara.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ridhiwani
Kikwete wakifurahia jambo katika mazungumzo kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
Wajumbe
wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na John Momose
Cheyo wakiteta kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Sep. 24, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)