TBL YAPATA TUZO YA HESHIMA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
Mkuu
wa Mkoa wa Manyara,Mbwilo, akimkabidhi Cheti cha kutambua chango mkubwa
uliofanywa na Kampuni ya Bia nchini (TBL) ambayo iliendesha zoezi la
upimaji afya kwa madareva, Meneja wa Kiwanda cha Bia Arusha Moshi
Sarvatory Rweyemamundiye aliyepokea kwa niaba ya uongozi wa Kampuni hiyo
wakati wa kufunga Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani iliyofanyika
kitaifa mkoani Arusha.
Kamanda
wa Kikosi cha Usalama Barabarani Marrison Mwakyoma akipima macho yake
kama sehemu ya kuhamasisha upimaji wa fya kwa madereva wa mabasi na
magari ya mizigo wakati wa wiki ya nenda kwa usalama barabarani zoezi
hilo lilifanyika eneo la Makuyuni wilayani Monduli mkoani Arusha
Mkuu
wa wilaya ya Monduli Jowika Kasunga akisisitia jambo wakati alipokuwa
akipewa maelekezo ya namna wataalamu wanavyochukua vipimo vya afya
kutoka kwa madereva wa mabasi na magari ya mizingo wakati wa zoezi la
upimaji wa afya lililofanyika Makuyuni wilayani humo ikiwa ni sehemu ya
maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama barabarani