Mwili wa marehemu Issa ukiwa umebebwa kwa kupelekwa mochwari atika hospitali ya mkoa wa Shinyanga .
Ndugu Issa Ramadhani
(36) mkazi wa majengo Manispaa ya Shinyanga aliamua kuchukua jukumu la
kujinyonga chumbani kwake kwa kile kinachodaiwa kwenda kupima na
kuonekana majibu kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi, kabla ya
kujinyonga kwake kwa kutumia kamba ya katani alimtuma mkewe kwenda kwa
wazazi wake huku nyuma akachukua jumkumu la kujinyonga huku akicha
ujumbe wa
maneno kuwa NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi ikiwa kitandani
maneno kuwa NIMEAMUA KUJINYONGA na simu yake ya mkononi ikiwa kitandani