Mwenyekiti
wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba
inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed
Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua…
Mwenyekiti
wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba
inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed
Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014.(P.T)
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua
juu Katiba inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa
michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni Mwenyekiti wa
Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe
samia Suluhu Hassan.
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la katiba, Samuel Sitta amekabidhi Katiba
inayopendekezwa hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein.