MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Oct 3, 2014

Kivazi cha Min Sketi Chazua Balaa Huko Arusha, Demu Atamani Ardhi Ipasuke

Kivazi cha Min Sketi Kidogo Kimtokee Puani Dada mmoja Huko Arusha Mitaa ya Soko kuu Katika ya Mji Baada ya Vijana Kuanza Kumzomea na
Kumfuata nyuma Wakitaka Kumshika Makalio , lilikuwa ni tukio la aina yake lililovuta Hisia za watu wengi, Watu walivyozidi ilibidi Dada huyu kukimbilia kwenye Duka moja kujisitiri ndio ikawa salama yake ...Jamani wadada tunapotoka out tujiangalie tumevaa nini ...Vijana huko mtaani wananjaaaaa msije Adhirika..