wadau na waandishi wa habari kutoka jijini mwanza katika kipindi cha hoja yangu juu ya hoja semayo WHY DRUG ABUSE? hoja amabayo kiukweli imekonga mioyo ya watu kadhaa waliokuwepo katika mkutano huo uliofanyika nadani ya The Pigeon hotel jijini mwanza kwani baadhi ya wajumbe wameshudia watu kadhaa wakitoa hoja zao juu ya matumizi na athari za matumizi ya dawa za kulevya.
wajumbe kutoka baraza la waandishi wa habari na OJADACT
mwenyekiti wa OJADACT akiongelea zaidi juu ya matumizi ya dawa za kulevya na jinsi vijana wengi wa taifa hili na duniani kote wanavyoathiriwa na dawa hizo za kulevya. kwani mweyekiti huyo amebainisha mambo mengi sana juu ya mambo yanayoendelea kuhusu matumizi ya dawa za kulevya na kudai kuwa pia hata serikali imekuwa mstari wa mbele kupinga dawa hizo na lakini bado kuna changamoto kubwa kwa serikali kuweza kudhibiti matumizi hayo ya dawa za kulvya kuanzia kwa watumiaji na wafanya biashara wa dawa za kulevya
mjumbe wa kutoka OJADACT akiwa mtari wa mbele katika kuelimisha lika la waathirika wa dawa za kulevya iliyofanyika jijini mwanza
wajumbe wa HOJA YANGU walipokuwa wakijadili juu ya masuala ya matumizi ya dawa za kulevya nadini ya hotel ya pigeion iliyopo jijini mwanza
wadau wageni waalikwa
wajumbe na wachangiaji wa mada ya WHY DRUG ABUSE kutoka kushoto ni Babu wambura akiwa ni mdau wa Techno kweli na muwakilishi wa bloggers Tanzania jijini mwanza katika kuchangia mada ya matumizi ya dawa za kulevyawaandishi wa habari kutoka media tofauti tofauti wakijadili juu ya masuala hayo ya dawa kulevya na je nini kifanyike kuzuia na kupunguza matumizi mabaya ya dawa za kulevya
meza kuu iliyokusanya wenyeji wa mada iliyokuwa ikijadiliwa juu ya matumiz ya dawa za kulevya kwa vijana wa kitanzania
wajumbe na waandishi wa habari kutoka jijini mwanza wakiwa makini kusikiliza nini kinachozungumziwa na baadhi ya wadau waliokwisha tumia dawa hizo za kulevya
kwani kumekuwa na wimbi kubwa la matumizi ya dawa za kulevya nchiniTanzania na serikali imekuwa mstari wa mbele kuweza kupiga vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya Vijana wengi wamekuwa watumwa wa dawa za kulevya kuanzia bangi herion na cocain na mirungi hata pombe pia lakini OJADACT wamekuwa mstari wa mbele kutoa nasaha nyingi juu ya vijana wanaopotea na kuingia katika matumizi mabaya ya dawa za kulevya. hata hivyo wajumbe wengi waliofika katika mkutano huo wa OJADACT wamebaini kuwepo kwa wimbi kubwa la vijana watumiao madawa na pia serikali imekuwa ikiwabana watumiaji tu bila kumulika hata wale wanaoingiza dawa hizo kwani kumekuwa na mchezo mchafu wa baadhi ya viongozi wakubwa wa serikali kutokudhibiti wimbi hilo ikisemekana hata wao pia ni wahusika wa biashara hiyo
Shirika la habari la Star Tv kwa kushirikiana na OJADACT wamebaini kuvunjika kwa maadili ya vijana wengi kwa kuiga mitindo ya kimaisha kwa wengine kutamani maisha ya hali ya juu na kuwa ukosefu wa ajira ndio chanzo cha mambo hayo kwani hata hivyo kwa nchi za mataifa ya ulaya vijana wengi kati ya 10 utakuta 8 hadi 7 ni waathirika wa dawa za kulevya sasa tabia hiyonayo imeanza kukuthiri katika nchi za afrika na duniani kote kwa mambo ya kuiga mitindo ya kimaisha kwa kutamani maisha makubwa zaidi