Shilole na Nuh Mziwanda
Nuh
Mziwanda a.k.a Babby wa Shilole, amesema kuwa kuzama katika penzi la
bibie huyu na kuingia katika maisha yake kumemfundisha kitu kikubwa
kabisa na kila siku anaendelea kujifunza namna ya kuishi katika familia
akiwa kama baba katika umri mdogo.
Mkali huyu ambaye anashine na Ngoma ambayo pia ina bonge moja ya chupa, Msondongoma, amesema kuwa katika hatua ya mwanzo maisha haya mapya ndani ya familia ya shilole, yalikuwa yanampatia changamoto lakini sasa amengundua kuwa hili ni darasa poa kabisa la maisha yake ya baadae ya ubaba.