majira ya mchana hapa mjini Dar es salaam, eneo la BUNGO mataa, Raia wenye hasira walianza kumshushia kichapo askali mmoja wa barabarani kwa kudaiwa kusababisha ajali....
Pichani ni Askali alipewa kichapo kidogo na kukimbilia kwenye bajaji ili ajisalimishe...jamani jamani ile kauli ya WAPIGWE TUU naona inatekelezwa sasa upande wao....hehehehhee natania tu:
udaku special