Mhe
Spika wa Bunge Anne Makinda akiwa na Naibu Spika wa Majlis A'Shura
Sheikh Abdullah Al Majaali aliempokea katika uwanja wa ndege wa Muscat
International Airport.
Mhe Spika akiwa na wenyeji wake pamoja na sehemu ya ujumbe wake.Wa kwanza kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Mhe Freeman Mbowe na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Uratibu na Bunge),Mhe William Lukuvi.Wa kwanza kushoto ni Mhe Ally Saleh Balozi wa Tanzania nchini Oman. Mhe Spika yuko katika ziara rasmi ya kibunge ya siku sita.
Mhe Spika Anne Makinda wakati akipokelewa uwanjani Mara baada ya kuwasili.