SUGU ATOA WIMBO NA PROFESSOR JAY - MAKAMANDA
Mdau
wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko ulimwenguni.
Pokea kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili katika kuihamasisha jamii
ya KI-TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015.
Wimbo
unaitwa MAKAMANDA, waliochana mistari humo ndani ni Mhe. Sugu na
Professor Jay, umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. BOFYA PLAY KUSIKILIZA