Wanahitajika wasichana wa kuuza duka kubwa liliopo posta jijini dar
es salaam, wenye uwezo wa kufanya Marketing, na Online Sales.
wawe na uwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. elimu kuanzia diploma.
wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
0756608383 na 0713608383