Rapa
kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' akiwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.K Nyerere jijini Dar kwa ajili ya shoo
ya Fiesta.
Rapa T.I akiwapungia mashabiki waliokwenda kumpokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K Nyerere jijini Dar