Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani muda huu kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Staa wa Bongo Fleva Nasib Abdul 'Diamond Platinum' akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya Leaders Club.GPL(P.T)
(PICHA NA MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)