Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA)
unawatangazia Wananchi wote wazalendo wapenda nchi yao kuhudhuria katika
Mkutano Mkubwa wa aina yake wenye lengo la kuizika CCM siku ya Jumapili
katika viwanja vya JANGWANI kuanzia saa 8:00 Mchana.
Njoo ushuhudie tukio muhimu la
kihistoria ambapo Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vinavyounda UKAWA
watakavyosaini Makubaliano ya pamoja ya ushirikiano ktk Chaguzi zote
zijazo kuelekea 2015.
Mkutano utarushwa live na kituo cha ITV.
Njoo ujionee namna madalali wa nchi hii watakavyoumbuliwa na katiba yao feki kusasambuliwa!
Mpe taarifa hii na mwenzako.
UKAWA TUMAINI LETU!
CHANZO UDAKU SPECIAL.COM