PAMOJA
SANA' Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe ambaye pia mmiliki wa 93.7 Jembe Fm
Dr. Ndege akimtambulisha mwanamuziki Kidumu na bendi yake ya Bodaboda
kwaajili ya kutumbuiza wakazi wa Mwanza katika sherehe ya Krismasi ndani
ya Jembe Beach jijini Mwanza.
Aksante sana wana Mwanza kwa kujitokeza.
Usiku huu pia ulitumika kuitambulisha JJ Band aka Jembe ni Jembe Band ambayo kuanzia sasa itakuwa ikitumbuiza hapa. |
Penye kinu cha muziki 'Super sound master' Oxxy.
PICHA NA GSENGO