MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 16, 2014

BREEEKING NEEWZ: BASI LA MOHAMED TRANSI LAPATA AJALI WILAYANI IGUNGA

 Basi la kampuni ya mohamed trans linalofanya safri zake kutokea shinyanga kuelekea morogoro  limepata ajali maeneo ya igunga mkoani tabora tabora habari zilizotufikia muda huu ni kwamba watu watatu 3 wamepoteza maisha papo hapo na wengine ni majeruhi na jitihada za uokoaji zinaendelea kufanyika
chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika hadi muda huu tutakujuza zaidi fuatilia katika blog hii