MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 11, 2014

DK. REGINALD MENGI AZINDUA TASWE SACCOSS JIJINI DAR

Keki ya Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss), 'WEKEZA UVUNE'

Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs ( TASWE - Saccoss) uliofanyika katika ukumbi wa St. Peter's jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Tanzania Saccos For Women Entrepreneurs (TASWE - Saccoss), M ama Anna Matinde na  kulia ni Balozi Mdogo wa India, Mhe Baluinder Humpal.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akishirikiana na Balozi Mdogo wa India  Mhe.  Baluinder Humpal kukata keki.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akikabidhiwa zawadi kwa mchango wake anaoutoa katika jamii.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Media, Dk. Reginald Mengi akiongea machache baada ya kuzindua SACCOS hiyo ya kinamama wajasiriamali.