Hatimaye Kwa mara ya kwanza Wema Sepetu amezungumza kuhusu uhusiano
wa aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na mrembo wa Uganda, Zari The
Boss Lady ambao sasa ni ‘talk of East Africa’.
Wema alianza kwa kuwasifia na kusema anaipenda couple yao,
“Aisee nawapenda they make such a good couple, yeah”alipoulizwa na Soudy Brown wa U Heard ya XXL kama haoni wivu alijibu, “Wivu wa nini mimi and Diamond we were not meant to be it didn’t work basi, so I wish him all the best and I wish him happiness.”
Mi naweza kusema kwamba maybe kila kitu ni starting
point and all this my work and my issues ilihitaji starting point, labda
nilipokuwa kwenye mapenzi na Nasib nilikuwa blinded kuyaangalia maisha
yangu na future yangu…”