news for everyone
Pages
HABARI
GLOBAL NEWS
SHOW BIZ
VIDEOZ
MUSIC
FASHION SHOW
MICHEZO {SPORTS}
MY ADVERT EA SHOWBIZ
SIX OFFICE SOLUTION
MOCHRISPO
DARDY FASHION
Dec 25, 2014
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo litashirikisha waimbaji wengi kutoka hapa nchini na nchi jirani.(PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE -MBEYA)
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na
Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota
na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
wa pili kutoka kushoto, mwisho kushoto ni MC Mwakipesile wa jijini Mbeya
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye
na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
wakimsikiliza MC Mwakipesile mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya.
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye
na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama
waki
furahia jambo kutoka kushoto ni
Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota na MC Mwakipesile.
MC. Mwakipesile kulia na John Melele mmoja wa waratibu wa Tamasha hilo wakifurahia jambo kwenye uwanja wa Ndege wa Songwe mkoani Mbeya.
Newer Post
Older Post
Home