MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 27, 2014

NAIBU WAZIRI MHE. JANUARY MAKAMBA AZINDUA KUNDI LA KAONE SANAA GROUP DAR LIVE

.Akiwa katika picha ya pamoja na Kaone







akimpongeza Swebe mara baada ya kusoma risala

Msanii Steve Nyerere akiongea kwenye tamasha kama mualikwa


Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Mhe. January Makamba akiongea na wasanii.



akiwa katika picha ya pamoja na wasanii baada ya uzinduzi wa Kaone Sanaa Group uliyofanyika Dar Live jijini Dar usiku wa kuamkia leo.

Msanii Zembwela akiongea akiwa mmoja wa waanzilishi wa Kaone


.Akiongozwa na Meneja Mkuu wa Dar Live, Abdallah Mrisho kwenda meza kuu