Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akimtunza Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka nchini DRC Congo wakati akiima kwenye tamasha la Krismasi lililofamyika kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa na kushirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa injili wakiwemo Upendo Nkone, Upendo Kilahiro, Bony Mwaiteje, Faraja Ntaboba kutoka DRC Congo, Solomon Mukubwa, Edson Mwasabwite Joshua Mlelwa, Ambwene Mwasongwe, Tumaini Njole, Emmanuel Mgogo na wengine wengi, hata hivyo mvua kubwa iliyonyesha mkoani Iringa imewafanya mashabiki wengi kutojitokeza katika tamasha hilo, Kundi zima la wanamuziki hao limekonga nyoyo za mashabiki mjini Iringa na linatarajiwa kuondoka kesho kuelekea Songea mkoani Ruvuma ambapo tamasha kama hilo litafanyika Desemba 29 kwenye uwanja wa majimaji.
Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akicheza wakati mwimbaji Faraja Ntaboba akiimba kushoto ni mwimbaji Upendo Kilahiro akishiriki kucheza. Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. Mwimbaji Edson Mwasabwite akiimba mbele ya mashabiki wake katika tamasha la Krismas kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. Tumaini Njole na kundi lake wakitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. Tumaini Njole akitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa.