MY ADVERT EA SHOWBIZ

MY ADVERT EA SHOWBIZ

SIX OFFICE SOLUTION

MOCHRISPO

DARDY FASHION

Dec 16, 2014

PICHA ZA AJALI YA BASI LA MOHAMED TRANS IGUNGA




Picha zote zikionyesha mandhari ya sehemu ajali hiyo ilipotokea.
Idadi ya watu kadhaa wamefariki Igunga, mkoani  Tabora, ambapo wengi wamejeruhiwa baada ya basi la Mohammed Trans  lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salaam, kukatika 'steeering power' likaacha njia na kupinduka.
   Basi hilo limepinduka leo majira ya saa Tano , ambapo maiti na majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga.