Mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania laanza leo
mjini Dodoma ambapo miongoni mwa mengi yaliyojiri, ni pamoja na Waziri
wa Elimu kupiga marufuku utaratibu wa shule binafsi kufukuza wanafunzi
wanaofeli mitihani ya kuvuka darasa au kidato, na watakaokiuka agizo
hilo watafutiwa usajili wa shule zao. kwaniiwango cha ufaulu kimepangwa na serikali hivyo atakae kiuka agizo hilo atachukuliwa hatua kali za kisheria
Je, wewe unaonaje?