Naibu
Waziri mpya Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele akiwa katika
Ofisi yake aliyokabidhiwa na Mh. Ummy Mwalimu jijini Dar es Salaam leo.
Naibu
katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.Angeline Madete akitoa maelezo
mafupi wakati Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mh. Stephen Masele
akikabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Naibu Ofisi hiyo Mh. Ummy Mwalimu
(hayupo pichani) leo jijini Dar es Salaam.