Mwanafunzi
wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (kulia) akitoa
fedha zake kwa njia ya M-PESA kiasi cha shilingi Milioni
1/-alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
Vodacom Tanzania na kukabidhiwa fedha hizo na Mkuu wa kampuni hiyo kanda
ya ziwa Dominician Mkama (kushoto.
Mkuu
wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania,Domician Mkama (kushoto)
akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi Milioni 1/- Evarista Minja
ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini
Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay
kwenda 15544.Mwanafunzi wa Chuo kikuu cha SAUT cha jijini Mwanza Evarista Minja (katikati) akiwa amepozi kwa picha na marafiki zake Careen Masonda(kushoto)na Lucy Mlacha(kulia)mara baada ya kukabidhiwa kitita hicho cha shilingi milioni 1/-na Mkuu wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania Dominician Mkama (hayupo pichani)alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.
Mkuu wa kanda ya Ziwa wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama (kushoto) akiongea na Evarista Minja(wapili toka kulia)na marafiki zake alipomtembelea Mwanafunzi huyo wa chuo kikuu cha SAUT jijini Mwanza kwa ajili ya kumkabidhi kitita chake cha shilingi Milioni 1/-alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na kampuni hiyo. Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay kwenda 15544.