-Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi
(Gavu)akifungua kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa mtambo wa
kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama huko Uzi
Ng'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya
miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi
(Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na
salama baada ya kufungua huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa
ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wananchi mbalimbali wakinywa maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi
na kuwa safi na salama baada ya kufunguliwa huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya
kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi
(Gavu)akitoa hotuba wakati alipofungua mtambo wa kubadilishia maji
kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati
Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya
Zanzibar.kulia yake nimuakilishi wa Taasisi ya Mork Water Solution ya
Ujarumani Mikalen na kushoto yake ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Idriss
Muhsin Hijja.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.