Vyombo vya habari nchini Ufaransa vimeripoti kwamba washukiwa wawili katika mauaji ya Charlie Hebdo wameuawa.
Chombo
cha habari cha AFP kimeripoti kwamba mtu mmoja ambaye alikuwa ametekwa
nyara na ndugu hao wawili amewachiliwa na yuko katika hali nzuri ya
afya.BBCSWAHILI