Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka
Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima (katikati)
akielezea maendeleo ya mradi wa Kinyerezi I. Kutoka kulia ni Naibu
Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage na Waziri wa
Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene. Kushoto kabisa ni Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akifafanua jambo katika ziara hiyo.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili
katika kituo cha kuchakata gesi cha Kinyerezi.
Sehemu ya mtambo wa kuchakata gesi wa Kinyerezi
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene (kulia) akizungumza na waandishi wa habari mara
baada ya kumalizika kwa ziara. Wengine kutoka kushoto ni Kaimu Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava, Mkurugenzi
wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James Mataragio na
Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene na Naibu Waziri wa Nishati na Madini (Nishati) Mhe.
Charles Mwijage (katikati) wakiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa
Wizara ya Nishati na Madini na wataalamu wa mradi wa kuchakata gesi wa
Kinyerezi.
Mtaalamu kutoka kampuni ya
Jacobsen Elektro iliyopewa kazi ya kujenga kituo cha kuzalisha umeme cha
Kinyerezi I Clas-Eirik Strand (kushoto) akibadilishana mawazo na Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava
(kulia) Katikati ni Meneja Mradi wa Kinyerezi kutoka Shirika la Umeme
Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
(Nishati) Mhe. Charles Mwijage akisalimiana na baadhi ya wataalamu
kutoka kampuni ya Jacobsen Elektro iliyopewa kazi ya kujenga kituo cha
kuzalisha umeme cha Kinyerezi I mara baada ya kuwasili kituoni hapo.
Aliyeambatana naye kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na
Madini Mhandisi Ngosi Mwihava.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
(Nishati) Mhe. Charles Mwijage (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Dk. James
Mataragio (kulia) mara baada ya kuwasili katika kituo cha kufua umeme
cha Kinyerezi.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akibadilishana mawazo
na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC)
Dk. James Mataragio kwenye eneo la mradi wa Kinyerezi I.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.
George Simbachawene (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Nishati na
Madini (Nishati) Mhe. Charles Mwijage (kulia) mara baada ya kuwasili
kwenye eneo la kituo cha kuzalisha umeme cha Kinyerezi I.
Meneja Mradi wa Kinyerezi I kutoka
Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) Mhandisi Simon Jilima ( aliyetangulia
mbele) akiongoza msafara wa Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George
Simbachawene kwenye eneo la mradi.